Home Sports SAUTI:AZAM HAINA MPANGO WA KUISHUSHA BIASHARA ILA INATAKA POINTI

SAUTI:AZAM HAINA MPANGO WA KUISHUSHA BIASHARA ILA INATAKA POINTI

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba unahitaji pointi tatu za Biashara United ila hauna mpango wa kuishusha timu hiyo kwa kuwa wanajua kwamba hilo ni jambo baya na wanaamini kuwa timu hiyo ina mipango pia.

Mchezo wa kesho ambao ni wa ligi,chaguo la Biashara United ni moja kuweza kushinda ili kutafuta nafasi ya kubaki ndani ya ligi ikitokea ikapoteza basi safari yake inagota hapo mazima.

Zakaria Thabit,Ofisa Habari wa Azam FC amesema watu wanasema Azam ikishinda itaishusha daraja Biashara United jambo ambalo halipo kwenye mpango wa Azam FC bali ambacho wanahitaji ni pointi tatu za Biashara United.

Previous articleKOCHA HUYU ATAJWA KUINGIA ANGA ZA SIMBA
Next articleRASMI:KOCHA MPYA SIMBA NI MSERBIA