HAJI MANARA AFUNGUKIA ISHU YA TUZO
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amefunguka baada ya kubwagwa kwenye tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) msimu wa 2020/21, kipengele cha Muhamasishaji Bora. Tuzo hiyo ilikwenda kwa shabiki kindakindaki wa Taifa Stars, Nick Renold maarufu kama Bongo Zozo, ambaye aliwashinda Manara na Masau Bwire wa kKlabu ya Ruvu Shooting. Manara ambaye alikuwa akiwania…