
KAZI KUBWA NI MUHIMU IFANYWE KWA UTULIVU
IPO wazi kuwa kila timu kwa sasa ipo chimbo ikifanya kazi kubwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Tunaona Azam FC wapo tayari wapo kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya na kazi yao ya kwanza itakuwa kwenye nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga. Simba nao wapo kambini na…