
ATLETICO YAFUZU UEFA, SUAREZ HAAMINI
ATLETICO Madrid imefanikiwa kufuzu kwenda hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Porto huku staa wake Luis Suarez akiwa haamini anachokiona na kumwaga machozi baada ya kuumia na kutolewa uwanjani. Atletico ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao hayo 3-1 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Do…