MESSI KABEBA TAJI, MBAPPE KAWEKA REKODI

NYOTA Lionel Messi aliiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa kuwashinda mabingwa watetezi Ufaransa kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya sare ya 3-3 ndani ya dakika 120. Katika mchezo huo ambao utaingia kwenye historia ya kuwa miongoni mwa mchezo mkubwa wa fainali kupata kuchezwa kwa vigogo hao wawili Uwanja wa Lusail Iconic….

Read More

MWAMUZI WA FAINALI HUYU HAPA

NI Szymon Marciniak raia wa Poland ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia leo Desemba 18,2022. Ni Argentina dhidi ya Ufaransa ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la la Dunia. Marciniak mwenye maiak 41, amekuwa mwamuzi wa FIFA tangu 2011 na fainali itakuwa mechi yake ya tatu huko Qatar,…

Read More

FAINALI YA KIBABE LEO KOMBE LA DUNIA

DESEMBA 18,2022 Fainali ya Kombe la Dunia Qatar 2022 inatarajiwa kufanyika leo Jumapili kwenye Uwanja wa Lusail Iconi. Mataifa mawili yanakutana kumsaka mshindi atakayesepa na taji hilo kubwa duniani. Mabingwa watetezi Ufaransa wenye Klylian Mbappe dhidi ya Argentina yenye Lionel Messi. Argentina leo watacheza fainali yao ya sita kwenye Kombe la Dunia wakiwa wamepotezwa na…

Read More

MOROCCO HUZUNI TUPU, CROATIA FURAHA

MASHABIKI wa Croatia walikuwa na furaha huku wale wa Morocco wakiwa na huzuni baada ya kupoteza mchezo wao kweye Kombe la Dunia. 44,137 ni idadi ya mashabiki ambao walikuwa ndani ya Uwanja wa Taifa wa Khalifa kushuhudia mchezo wa kumsaka mshindi wa tatu wa Kombe la Dunia 2022 Qatar ambaye ni Croatia. Matumaini ya Morocco…

Read More

SANTOS AICHA URENO YA CRISTIANO RONALDO

BAADA ya kuiongoza timu ya Taifa ya Ureno kwenye Kombe la Dunia 2022 Qatar na kutolewa katika hatua ya robo fainali na Timu ya Taifa ya Morocco, Fernando Santos aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo amesepa. Baada ya kocha huyo kubwaga manyanga jina la kocha wa Roma, Jose Mourinho ni miongoni mwa jina linalotajwa kwa…

Read More

MOROCCO WAMEMALIZA MWENDO WA KUSAKA FAINALI

MWENDO wa Timu ya Taifa ya Morocco kutoka Afrika umegotea hatua ya nusu fainali baada ya kupoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa watetezi Ufaransa. Ufaransa imewafunga Morocco mabao 2-0 sasa itamenyana na Timu ya Taifa ya Argentina kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia Qatar 2022 inayotarajiwa kuchezwa Jumapili. Ni mabao ya…

Read More

MORROCO YAWEKA REKODI, URENO KAZI IMEISHA

MOROCCO inakuwa timu ya kwanza kutoka bara la Afrika kukata tiketi ya kufuzu hatua ya nusu Fainali kwenye Kombe la Dunia baada ya kupata ushindi mbele ya Timu ya Taifa ya Ureno. Ni ushindi wa bao 1-0 ambao walipata kwenye mchezo huko kupitia kwa mshambuliaji wao Youssef En-Nesyri kwa pigo la kichwa dakika ya 42…

Read More

KOMBE LA DUNIA ROBO FAINALI ZA KIBABE

MECHI za hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia zinatarajiwa kuanza kazi leo Ijumaa ambapo miamba wa soka Ulaya na Amerika Kusini inatarajia kupambana. Mechi ya mapema zaidi leo Ijumaa inatarajiwa kuwa kati ya Croatia dhidi ya Brazil majira ya saa 12:00 jioni kwa Bongo halafu baadaye Uholanzi wakimenyana na Argentina saa…

Read More

HAZARD ASTAAFU MAJUKUMU YA TIMU YA TAIFA

EDEN Hazard nyota wa timu ya Real Madrid ameamua kustaafu kutumika majukumu ya Timu ya Taifa ya Ubelgiji baada ya timu hiyo kufungashiwa virago kwenye Kombe la Dunia hatua ya makundi huko Qatar,2022.  Nahodha huyo wa timu ya taifa amefunga jumla ya mabao 33 kwenye mechi 126 ambazo amecheza na timu hiyo tangu akiwa na…

Read More