MOROCCO YAUSHANGAZA ULIMWENGU
ULIMWENGU wa mpira umeshuhudia maajabu leo baada ya timu ya taifa ya Morocco kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya taifa ya Ubegiji. Ngoma ilikuwa nzito kuamini kwamba Morocco ingeibuka na ushindi kwenye mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa lakini maajabu ya mpira yamekamilika. Ni mabao ya Abdelhamid Sabri dakika ya…