LIVERPOOL YANYOOSHWA NA BRIGTON, TRENT HANA FURAHA

NGOMA imepigwa kinomanoma mpaka wenyewe wakaona isiwe tabu wakaacha pointi tatu mazima Uwanja wa Falmer. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu England uliowakutanisha miamba Brighton dhidi ya wababe Liverpool. Dakika 90 zimekamilika Brighton 3-0 Liverpool yenye Mohamed Salah akiwa ndani ya kikosi. No Solly Marchi alitupia kambani mbili dakika ya 46 na 53 na moja…

Read More

SIMBA YAPOTEZA DUBAI

 KIKOSI cha Simba leo Januari 13,2023 kimeambulia kichapo cha bao 1-0. Ni katika mchezo wa kirafiki ambapo wamepoteza dhidi ya Klabu ya Al Dhafra FC baada ya dakika 90. Kikosi cha Kwanza Cha Kocha Mkuu Robert Oliviera langoni alianza Aishi Manula Kwa upande wa ulinzi ni Shomari Kapombe,Joash Onyango, Kennedy Juma. Viungo ilikuwa ni Jonas…

Read More

CHAMA NDANI YA SIMBA DUBAI

CLATOUS Chama mwamba wa Lusaka amejiunga na kikosi cha Simba kambini Dubai leo Januari 11,2023. Kiungo huyo hakuwa na timu hiyo kwenye msafara wa awali kutoka Dar kwenda Dubai kwa kuwa alikuwa nyumbani kwao Zambia. Timu hiyo ipo chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera raia wa Brazil ambaye anashirikiana na Juma Mgunda ambaye ni mzawa….

Read More

MCAMEROON ABOUBAKAR KUVUNJIWA MKATANA KISA CR 7

KLABU ya Al Nassr ya Saudi Arabia imeripotiwa kusitisha mkataba wa mshambuliaji wake raia wa Cameroon Vincent Aboubakar ili kumsajili Cristiano Ronaldo, kulingana na Daily Mail. Mshambuliaji huyo ataondoka katika klabu hiyo kutokana na sheria ya Ligi ya Saudia inayosema kuwa klabu inaweza kusajili hadi wachezaji 8 wa kigeni.  Ili kumjumuisha Ronaldo kwenye kikosi, klabu…

Read More

LIVERPOOL WAPATA SARE KWA MSAADA WA VAR

KIKOSI cha Liverpool licha ya kupata sare bao kina kazi kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la FA dhidi ya Wolves. Kwenye mchezo wao uliochezwa Uwanja wa Anfield ilibaki kidogo watunguliwe lakini VAR iliwaokoa kwa kuligomea bao la Toti alilofunga dakika za mwisho katika sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Anfield. Toti aliifunga dakika ya…

Read More

MEZA YAPINDULIWA KIBABE KWA CHELSEA UGENINI

NYOTA Serge Aurier bao lake la kwanza akiwa na Nottingham Forest dakika ya 63 liliuzima mkwaju wa Raheem Sterling  dakika ya 16 na kuwafanya wasumbufu hao wa Premier League kupata sare ya kufungana  1-1 waliyostahili dhidi ya Chelsea.  Mchezo huo ulichezwa  kwenye Uwanja wa City Ground.  Forest waliingia uwanjani wakijua ushindi ungewaondoa kwenye eneo la kushushwa daraja lakini…

Read More

PUMZIKA KWA AMANI LEGEND PELE

GWIJI wa soka wa Brazil Pele, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa wakati wote, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82. Mshambulizi huyo wa zamani, ambaye ndiye mchezaji pekee katika historia kushinda vikombe vitatu vya Kombe la Dunia, aliaga dunia katika hospitali ya Albert Einstein mjini Sao Paulo kufuatia kuugua saratani. Pele, ambaye ni…

Read More

KLOPP ANACHEKA ISHU YA USAJILI WA JUDE

KOCHA Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp alicheka alipoulizwa kama Liverpool inaweza kumsajili Jude Bellingham mnamo Januari lakini alikiri kuwa klabu hiyo imejiandaa kwa dirisha lijalo la usajili. Liverpool wamekuwa wakihusishwa na kiungo wa kati wa Borussia Dortmund Jude Bellingham ili kuimarisha safu yao ya kati ambayo ubora wake umeporomoka kutokana na kuwa na wachezaji ambao…

Read More

MATUMAINI YA UBINGWA KWA RANGERS YAPO

NYOTA John Lundstram bao lake la kipindi cha kwanza liliweka hai matumaini ya Rangers ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Scotland walipoilaza Ross County 1-0 huko Dingwall. Kombora kali la kiungo huyo lilimfanya bosi mpya Michael Beale kupata ushindi mara tatu ndani ya siku nane pekee baada ya kipa Jon McLaughlin ambaye alifanya kazi kubwa…

Read More

LIVERPOOL NDIO BASI TENA WACHAPWA NA CITY

BEKI wa kati wa Manchester City, Nathan Ake alifunga bao la ushindi kwa kichwa wakati timu hiyo ikiwachapa mabingwa watetezi Liverpool 3-2 katika mchezo wa kusisimua wa Kombe la Carabao. Ushindi huo uliopatkana Uwanja wa Etihad unaipa nafasi City kuweza kutinga hatua ya robo fainali. Licha ya kutocheza kwa mechi za ushindani kwa mwezi mmoja…

Read More