Home International LIVERPOOL YANYOOSHWA NA BRIGTON, TRENT HANA FURAHA

LIVERPOOL YANYOOSHWA NA BRIGTON, TRENT HANA FURAHA

NGOMA imepigwa kinomanoma mpaka wenyewe wakaona isiwe tabu wakaacha pointi tatu mazima Uwanja wa Falmer.

Ni katika mchezo wa Ligi Kuu England uliowakutanisha miamba Brighton dhidi ya wababe Liverpool.

Dakika 90 zimekamilika Brighton 3-0 Liverpool yenye Mohamed Salah akiwa ndani ya kikosi.

No Solly Marchi alitupia kambani mbili dakika ya 46 na 53 na moja Mali ya Danny Welbeck dakika ya 81.

Wakati Brighton wakishingalia kusepa na pointi tatu nyota wa Liverpool Trent Alexander-Arnold hakuwa na furaha kwa timu hiyo kuambulia kichapo hicho .

Previous articleSIMBA, MAKUSU MAMBO SAFI
Next articleJISHINDIE MIHELA NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!