>

DAKIKA 90 ZA KOCHA MPYA PABLO ALISHUHUDIA HAYA

KAZI imeanza kwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco baada ya kushuhudia namna Ligi Kuu Bara inavyokwenda na kasi ya wachezaji wake ambao alianza nao kikosi cha kwanza. Baada ya kuchukua mikoba ya Didier Gomes kete yake ya kwanza ilikuwa mbele ya Ruvu Shooting, Uwanja wa CCM Kirumba na ubao ulisoma Ruvu Shooting 1-3 Simba.Haya…

Read More

WAAMUZI NI PASUA KICHWA,WACHEZAJI PIGENI KAZI

KIVUMBI kinazidi kuwaka kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo kwa msimu huu mpya wa 2021/22 unaoyesha kwamba sio wa kitoto. Wakati ligi ikizidi kuwa ni moto waamuzi wamekuwa ni pasua kichwa kwa kuonekana wakifanya maamuzi ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wengi jambo ambalo linaua ile ladha ya ushindani. Makosa yapo lakini haina maana…

Read More

SIMULIZI YA MFANYABIASHARA AMBAYE ALITOROKWA NA MARAFIKI ZAKE

SIMULIZI ya mfanyabiashara ambaye alitorokwa na marafiki zake Niliishi mjini Namanga ambapo nilikuwa na biashara mbalimbali za kuuza nguo kwenye mji huo uliokuwa kitovu kizuri cha biashara kwa kuwa ulipatikana mpakani. Nilikuwa mwana pekee katika familia yetu. Maisha yalikuwa mazuri kwani nilikuwa buheri wa afya, kijana mtanashati aliyekuwa miraba minne. Biashara ilinipeleka vizuri maana wateja…

Read More

SIMULIZI KUHUSU JAMAA ALIYEPOTEA KWA MUDA KISA SHILINGI

SIMULIZI ya kuhusu aliyepotea kwa muda usiojulikana kisa fedha:- Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi ambapo wafanyikazi walichakuliwa watakaopata kibarua siku ile. Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe kwelikweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.Katika harakati zangu za…

Read More

SIMULIZI YA WEZI WALIORUDISHA NDINGA WENYEWE

SIMULIZI ya wezi waliorejesha ndinga waliyoiba Imepita miaka sita tangu gari langu aina ya Toyota Hilux lilipopotea nilijaribu juu chini kulitafuta lakini wapi halikupatikana,nakumbuka vizuri jinsi kisa hicho kilipotokea. Nilikuwa nafanya kazi na kampuni moja maarufu sana nchini nikiwa kama mfanyakazi wa kawaida hadi nilipopandishwa madaraka hadi nikawa meneja. Maisha yangu yakachukua mkondo mwingine nikaanza…

Read More

SIMULIZI YA MZAZI ALIYEKUWA NA MAWAZO KISA UWEZO WA WATOTO

SIMULIZI ya mzazi aliyekuwa na mawazo kisa uwezo wa watoto kuporomokaghafla Ni furaha ya kila mzazi kuona watoto wakifaulu maishani na kuweza kunawiri na kujiendeleza maishani mwake bila mtafaruku wowote, yote hayo yalionekana kutoweza kutimia kwa watoto  ambao walikuwa ni Juma na Halima wenye miaka 10, na 13 Walikuwa wachangamfu na kunipa matumaini ya kuweza…

Read More

MWENDO ALIOANZA NAO PABLO BONGO HUU HAPA

PABLO Franco Kocha Mkuu wa Simba ameanza kwa kushuhudia timu yake ikisepa na ushindi mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ukiwa ni mchezo wake wa kwanza baada ya kuchukua mikoba ya Didier Gomes alishuhudia  ubao ukisoma Ruvu Shooting 1-3 Simba ambapo mbinu yake ya kuwatumia washambuliaji wawili Kibu Dennis na…

Read More

NAMUNGO V YANGA, YUPI ATAVUNJA NGOME LEO?

  ILE ngome ambayo ilikuwa ngumu kuvunjika muda wote sasa wakati wake umefika tena kuanza kuvunjwa upya ambapo leo Uwanja wa Ilulu, wanaume watakuwa kazini. Baada ya kushindwa kufanikiwa kwa muda wa misimu miwili walipokutana wanakutana kwa mara nyingine tena kuendelea pale walipoishia ili kuweza kuona baada ya dakika 90 kitatokea kitu gani. Utakuwa ni…

Read More

SIMULIZI YA ALIYEPUNGUZA UZITO

SIMULIZI ya mwanamke aliyeweza kupunguza tatizo la uzito pamoja na unene Watu wengi ama kwa hakika haswa wanawake hupenda miili ambayo sio minene kupita matarajio yao. Wengi hupenda mwili wa kuvutia haswa  kila mara. Kwa jina ninaitwa Rebecca. Nilikuwa nashida ya kunenepa na kila mara watu wengi walinipa majina ya ajabu kutokana  na mwili wangu…

Read More

SIMULIZI YA ALIYEKUWA NA TATIZO LA KIAFYA

SIMULIZI ya mzazi aliyekuwa na tatizo la afya baadaye akarejea kwenye ubora Ama kwa hakika kila mtu hufurahia kuona wapendwa wao wakiishi kwa amani na wenye afya kila siku. Hali ilikuwa tofauti kwetu kwani mama mzazi alikuwa katika hali mbaya ya kifafa ambayo kila mara ilitukosesha usingizi kama wanawe. Kwa jina ni Kamau kutoka Nyamira….

Read More

AIR MANULA NA DAKIKA ZAKE BONGO

  KWA upande wa makipa ambao kazi yao namba moja ni kuzuia mipira kupita kwenye lango lake ni Aishi Manula yeye ni kinara kwa makipa ambao hawajaruhusu kufungwa ndani ya dakika 450. Akiwa amecheza mechi tano zte za Simba msimu huu wa 2021/22 Manula amekuwa mhimili kwenye upande wa ulinzi na kulifanya lango kuwa salama…

Read More

DEMBELE AKATWA MKWANJA HUKO KISA DAKIKA TATU

OUSMANE Dembele, nyota wa kikosi cha Barcelona amekuwa wa kwanza kukutana na balaa la kocha mpya, Xavi Hernandez kisa kuchelewa kwenye mazoezi kwa muda wa dakika tatu pekee. Kwa kosa hilo ambalo amefanya amekutana na ishu ya kukatwa mkwanja mrefu kwenye mshahara wake hivyo asitarajie kupewa mshahara wake kamili kwa mwezi huu kwa kuwa amesharikoroga…

Read More

MECHI ZA SIMBA V YANGA, KADI NYEKUNDU NJENJE

VIGOGO wa Ligi Kuu Bara, Simba ambao ni mabingwa watetezi pamoja na Yanga ambao ni mabingwa wa kihistoria wakiwa na mataji 27 ya ligi wakiwa kwenye mechi zao kwa msimu wa 2021/22 kadi imekuwa ni jambo la kawaida. Hii inatokana na ugumu wa mechi hizo pamoja na wachezaji kutumia nguvu kubwa katika kusaka ushindi jambo…

Read More

MAKIPA WALIOPATA TABU MBELE YA FEI TOTO

KWENYE ardhi ya Tanzania mbali na uzuri wa mlima Kilimanjaro pamoja na wakazi wake wenye sifa ya upole na ukarimu kuna kijana anakiwasha kwenye ulimwengu wa soka kwa kufanya kazi ya mpira ionekane kuwa nyepesi. Jina lake anaitwa Feisal Salum wengi wanapenda kumuita Fei Toto ni kijana anayewapa tabu kwa sasa makipa wa Bongo kwa…

Read More