>

MWENDO UMEUMALIZA SONSO,PUMZIKA KWA AMANI

KAZI ya Mungu haina makosa na tunapaswa kumshukuru kwa kila jambo ambalo linatokea kwenye maisha yetu ya kila siku kwa kuwa yeye ni muweza wa kila kinachotokea. Hakuna ambaye anaijua kesho hivyo kwa muda ambao upo kwa wakati huu kila mmoja anajukumu la kutimiza yale yanayofaa bila kuchoka. Wanafamilia,ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu…

Read More

SIMBA FANYENI KWELI LEO KIMATAIFA

SIMBA SC, leo Jumapili inatarajiwa kuvaana na ASEC Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Saalam. Huu utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba katika hatua hii ikiwa ni timu pekee ya Tanzania katika michuano hiyo. Simba imekuwa na historia nzuri katika michuano hiyo ya kimataifa kwa siku za karibuni, tunaamini kuwa wataendakufanya kweli kuanzia mchezo wa leo…

Read More

KASINO YA MERIDIANBET INAKUPATIA FURSA YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA JAKIPOTI YA KISASA!

Kwa muda mrefu, Kasino ya Meridianbet imekuwa ni sehemu moja yenye neno moja la kipekee – Jakipoti za Kasino! Hii hainakikomo, wameendelea kufanya hivyo hadi mwaka 2022. Sikia hii, mteja mmoja wa Kasino ya Meridianbet amejishindia €15,616 baada ya kushinda jakipoti kwenye Sloti ya Secrets of Alchemy. Mwanzo mzuri kwa mwezi Februari! Hii ni maana…

Read More

SASA NGUVU ZIMEHAMIA U 17

BAADA ya timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20, Tanzanite Queens kupoteza kwenye mchezo wa kuwania kufuzu tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Ethiopia hesabu zimehamia kwenye maandalizi ya U 17. Akizungumza na Spoti Xtra, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tazania, (TFF)Wilfred Kidao alisema…

Read More

BOXER BADO UNA MUDA WAKURUDI TENA KATIKA UBORA

Zama za Mwinyi Zahera alikuwa katika ubora na aliaminika kikosi cha kwanza jumlajumla ni Paul Godfrey wengi wanapenda kumuita Boxer.. Aliweza kumuweka benchi Juma Abdul mzee wa kumwaga maji ambaye pia alikuwa ni nahodha msaidizi katika kikosi cha Yanga. Majeruhi yaliweza kuirudisha nyuma kasi yake kisha hata aliporudi hajaweza kurudi kwenye ule ubora. Alipata nafasi…

Read More

KILICHOPANDWA KIMEVUNWA KOMBE LA SHIRIKISHO

MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa nah ii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…

Read More

UBABE KWENYE KOMBE LA SHIRIKISHO UWEKWE KANDO

MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa na hii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…

Read More

ISHU YA KUBEBA MATOKEO MFUKONI IWEKWE KANDO

KILA mmoja kwa sasa kwenye ligi anavuna kile ambacho alikipanda wakati wa maandalizi na hakuna bahati mbaya ambayo inatokea. Ikumbukwe kwamba ni muda mfupi tumetoka kukamilisha dirisha dogo la usajili ambalo lilikuwa lina mambo mengi na sarakasi za kutosha mwisho wa siku kila kitu kimekuwa wazi. Ilikuwa namna hiyo kwa wale ambao walikuwa wanahitaji kufanya…

Read More

USAJILI UMEKWISHA SASA KAZI IENDELEE

USHINDANI  kwenye ligi unazidi kushika kasi kila iitwapo leo hilo ni jambo jema kwa kuwa ili ligi iwe bora na imara ni muhimu ushindani uwepo. Pia tumetoka kumaliza suala la masuala ya usajili hasa ilikuwa ni dirisha dongo ambalo lilikuwa ni maalumu kwa ajili ya maboresho kwenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya…

Read More

FAINALI YA MAPINDUZI UBABE TUPA KULE

HONGERA Kwa timu ambazo zimeweza kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi na kesho wanatarajiwa kuweza kucheza na kumpata mshindi. Ipo wazi kwamba kila timu inahitaji ushindi na ambaye atajipanga ana nafasi kubwa ya kuweza kutwaa Kombe la Mapinduzi ambalo ni heshima na litawafanya mashabiki aweze kufurahi. Mabingwa watetezi wao wamefungashiwa virago ambao ni…

Read More

MOTO WA KIBU DENNIS HAUPOI

MOJA ya washambuliaji ambao wameweza kuandika rekodi ya kipekee kwa msimu wa 2021/22 ndani ya Simba ni pamoja na Kibu Dennis ambaye alipopata nafasi ya kufunga bao la kwanza moto wake haujazima. Baada ya kufanikiwa kupachika bao hilo kwenye kila mchezo ambao amecheza ndani ya ligi katika mechi nne mfululizo ambazo ni dakika 360 amekuwa…

Read More

USAJILI UFANYWE KWA UMAKINI MKUBWA

ILIKUWA ni Desemba 16 baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa na sasa ni Januari 6 mambo yanazidi kwenda kasi huku vurugu za usajili zikiendelea. Ule usemi wa mwenye kisu kikali atakula nyama anayopenda inaendelea kwa sasa lakini ni lazima mipango iwe makini kwa kila timu. Iwe ni kwa timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara,…

Read More

UNGANISHA MIGUU NA KICHWA CHA AJIBU ILI TUPATE MAJIBU

IBRAHIM Ajibu Migomba, sasa ametua Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja akiandika rekodi ambayo wameiweka wachezaji wachache sana iwe kwa wazalendo au wa kigeni. Tayari sasa ameandika rekodi ya kuzichezea timu zote tatu kubwa za Dar es Salaam au Tanzania, nazungumzia Simba, Yanga na sasa Azam FC. Simba amekulia, amecheza au kukaa muda mrefu…

Read More

2022 IKAWE BORA NA YENYE MAFANIKIO PIA

2021 kwa sasa inahitaji kutuacha kwa kuwa tayari yale mapigano yote yamefanyika na wapo ambao wameambulia maumivu na wengine ilikuwa ni furaha kwao. Kwenye ulimwengu wa mpira tumeona namna ushindani ulivyokuwa kwa kila timu kupambana kusaka ushindi hilo ni jambo la msingi na ni muhimu kuendelea kufanyika. Pia kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania nayo pia…

Read More