>

YANGA V NAMUNGO,KAZI IPO LEO KWA MKAPA

KUMEKUCHA sasa leo ni Yanga v Namungo, Uwanja wa Mkapa ngoma inatarajiwa kupigwa ikiwa ni Aprili 23,2022. Kazi kubwa ni kwa vinara Yanga wenye pointi 51 watakapokuwa wakimenyana na Namungo FC iliyo na pointi 29 ndani ya ligi. Ugumu wao huwa unakuwa namna hii:- Wakali wa nyavu Kwa Yanga wao wanaye mzee wa kutetema, Fiston…

Read More

ORLANDO SIO WATU WAZURI LAZIMA SIMBA IJIPANGE

TAYARI ile ngwe ya kwanza kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali kwa Simba imeshakamilisha na mpango kazi wa awali umeshakwisha. Mbele ya mashabiki wao wengi waliojitokeza 60,000, Simba ilifanikiwa kushinda bao 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo ambao ulikuwa unahitajika ushindi. Hapa ni dk 90 za mwanzo nyumbani na kuna dk nyingine za…

Read More

CHIZIKA NA GURUDUMU LA BAHATI KWENYE KASINO YA Meridianbet

HAYAWI hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution Gaming, wanakuletea mchezo wa kijanja uitwao Crazy Time. Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream Catcher). Usisubiri kusimuliwa kwasababu, mchezo huu utakupa…

Read More

NAMNA PUMZI YA MOTO ILIVUTWA UWANJA WA MKAPA

ILE pumzi ya moto wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, hatua ya robo fainali Orlando Pirates waliivuta baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0, Uwanja wa Mkapa. Wimbo wa matumizi ya nafasi zinazotengenezwa kwa Simba utadumu kwenye vichwa vyao kwa kuwa mashuti 17 waliyopiga ni matano yalilenga lango la wapinzani wao. Kwa…

Read More

U 17 WAMEANZA MWENDO,WAUNGWE MKONO

HATUA moja kila wakati tunaona kwa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 kwa namna ambavyo wanafanya vizuri kwenye mechi za kuwania Kufuzu Tiketi ya Kombe la Dunia. Pongezi kwa Serengeti Girls baada ya kuweza kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Burundi mchezo uliochezwa Uwanja wa Urukundo,Ngozi nchini Burundi. Haukuwa mchezo mwepesi…

Read More

PAN AFRICAN,GWAMBINA KUNANI HUKO WAUNGWANA?

KUNANI pale ndani ya Pan African moja ya timu yenye historia kwenye ulimwengu wa mpira ila ghafla kwa sasa mambo yanaonekana kwenda tofauti. Tunaona kwamba kwenye mzunguko wa pili upepo umebadilika kwa mabingwa hawa wa ligi mwaka 1982 bado hawajawa kwenye mwendo mzuri. Kocha aliyekuwa akiwafundisha hivi karibuni tulipewa taarifa kwamba ameshachimbishwa kisha akafuata kipa…

Read More

AIR MANULA KATIKA ANGA ZA KIMATAIA KAKIWASHA

HAKUNA anayejua itakuaje sasa kwenye hatua ya robo fainali baada ya Simba kufanikiwa kupenya hasa kwenye upande wa lango nani ataanza kati ya Aishi Manula,Beno Kakolanya ama Ally Salim. Weka kando kuhusu kufikiria nani ataanza lakini chaguo namba moja ni Manula ambaye amekuwa kwenye mwendelezo bora awapo langoni. Hapa tunakuletea namna nyota huyo alivyotimiza majukumu…

Read More

SAFARI NI NDEFU KUWEZA KUTOBOA KWENYE SOKA

DUNIA iliibatiza Afrika na nchi zake kuwa sehemu ya dunia ya tatu,ikiamini kuwa ni  dunia ambayo maisha ya mwanadamu wa kawaida yapo kwenye changamoto lukuki zinazofanya ndoto nyingi za vijana wa bara hili kuishia njiani au kutimiza kwa shida mno. Waafrika hupitia njia nyingi sana za shida, vikwazo vya kila aina katika kutimiza ndoto zao….

Read More

AIR MANULA KIMATAIFA MWENDO WAKE

HAKUNA anayejua itakuaje sasa kwenye hatua ya robo fainali baada ya Simba kufanikiwa kupenya hasa kwenye upande wa lango nani ataanza kati ya Aishi Manula,Beno Kakolanya ama Ally Salim. Weka kando kuhusu kufikiria nani ataanza lakini chaguo namba moja ni Manula ambaye amekuwa kwenye mwendelezo bora awapo langoni. Hapa tunakuletea namna nyota huyo alivyotimiza majukumu…

Read More

MBEYA KWANZA SIYO YA KWANZA KWA SASA

MBEYA Kwanza yenye maskani yake Mbeya kwa sasa sio ya kwanza kwa timu ambazo zina maskani yake kwenye mkoa huo wenye madhari ya kijani. Kwa sasa kwenye msimamo inaburuza mkia ikiwa imekusanya pointi 14 baada ya kucheza mechi 19. Safu ya ushambuliaji ya Mbeya Kwanza imetupia mabao 14 ikiwa imeshinda mechi 2 pekee za ligi….

Read More

HATOKI MTU KWA MKAPA IENDE KWA VITENDO

UNAAMBIWA mtu kwao hilo lipo kwenye mechi za kimataifa hasa kwa soka letu la Afrika ambalo linakwenda kwa namna ambavyo linataka lenyewe. Ipo hivyo wewe kubali kata unaona namna ilivyokuwa kwa Simba walishinda kwa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Uwanja wa Mkapa walipowafuata ugenini wakachapwa mabao 3-0. Tena ni kwamba hapo ASEC walikuwa nje ya…

Read More