MWENDO WA TP MAZEMBE NA YANGA WALIKIMBIZANA KWELI
NJE ndani TP Mazembe kaacha pointi tatutatu mbele ya Yanga walipokutana kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi wote wakiwa kundi D. Yanga wamekamilisha mechi ya sita wakiwa wanaongoza kundi na kibindoni wana pointi 13, hapa tunakuletea kazi ilivyokuwa Uwanja wa TP Mazembe:- Lenny Junior Kipa huyu aliokoa hatari dakika ya 6,14,15…