
SENZO AKUBALI UWEZO WA NABI
KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingisa amesema kuwa kila sikuanazidi kufurahishwa na utendaji kazi na juhudi kubwa inayoonyeshwa na wachezaji wa timu hiyo kuwa ni kazikubwa inayofanywa na benchi la ufundi chini ya kocha Nabi. Katika msimu huu, Yanga ilianza kwa kutwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii na hadi sasa Yanga imekaa kileleni katika msimamo wa ligi Kuu kwa pointi tisa katika michezo yote mitatu iliyocheza. Senzo amesema kuwa shukrani…