HESABU ZA KIMATAIFA ZA YANGA NOMA
UONGOZI wa kikosi cha Yanga, umeweka wazi kuwa wamejiwekea malengo makubwa ya kuhakikisha msimu ujao, angalau wanacheza hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union umewafanya Yanga rasmi kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa ligi na kuandika rekodi ya kushinda ubingwa huo kwa mara ya 28….