UJENZI WA UWANJA WA SIMBA MAMBO YAZIDI KUPAMBA MOTO
MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa leo wameongozana na msanifu majengo (architect) kwa ajili ya kutembelea eneo la Bunju ili kukagua mipaka na eneo ambalo litatumika kwenye ujenzi kabla ya Ijumaa Bodi ya Wakurugenzi Simba kukutan. Kwa mujibu wa Barbara ni kwamba lengo la kuweza kukutana Ijumaani kuweza kumpitisha mkandarasi ambaye…