LINGARD ANATAKA KUSEPA UNITED
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Jesse Lingard mwenye miaka 28 anataka kuondoka ndani ya kikosi hicho kwenye kipindi cha usajili wa Januari,mwakani. Msimu uliopita nyota huyo alikuwa kwa mkopo ndani ya kikosi cha West Ham United na aliweza kufanya vizuri lakini aliporejea ndani ya Manchester United hana nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza. Mshambuliaji huyo ameweka…