
VIUNGO HAWA WA SIMBA LAZIMA WAONGEZE UMAKINI KWA MIKATO YAO
HAWA viungo wote wa Simba hawana ujanja wa kuyeyuha dakika 90 bila kutembeza mikato yao jambo ambalo linaigharimu timu kwenye mechi wanazocheza na kuwagharimu wachezaji wa timu pinzani. Sadio Kanoute, mtata akiwa ndani ya uwanja na kucheza faulo kwenye harakati za kuokoa mpira haoni tabu kutokana na asili ya eneo lake. Nyota huyo alikosekana kwenye…