Wednesday, April 24, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7683 POSTS 0 COMMENTS

MASAU BWIRE:TUPO KWENYE NAFASI MBAYA

0
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ameweka wazi kwamba wapo kwenye nafasi mbaya katika ligi jambo ambalo haliwaridhishi kuwa hapo walipo kwa sasa. Kwenye...

KUMBE!CHAMA HAKUTAKIWA KUSAJILIWA SIMBA

0
MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama hakutakiwa kusajiliwa ndani ya kikosi cha Simba msimu huu wa 2021/22 na badala yake alitakiwa kusajiliwa mshambuliaji wa kazi...

AZIZ KI ATAJWA KUINGIA RADA ZA YANGA

0
 IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mpango wa kuinsa saini ya kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Aziz Ki ili aweze kuongeza nguvu kwa msimu ujao...

MORRISON AGOMEA KURUDI SIMBA,YANGA YATAJWA

0
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Simba amegomea kurudi ndani ya timu hiyo kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuwa na maelewano mazuri na moja ya viongozi...

TAMBUA NAMNA SIMBA MPYA INAVYOSUKWA NDANI YA SPOTI XTRA

0
SIMBA mpya inasukwa na unaambiwa kuna mastaa 14 wafyekwa ndani ya Yanga, jipatie gazeti la Spoti Xtra, Alhamisi.

MSHAMBULIAJI HUYU ATAJWA KUWAONDOA KAGERE NA MUGALU SIMBA

0
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kuwania saini ya mshambuliaji wa Orlando Pirates, Pepra kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi...

TIMU YA WANAWAKE KILIMANJARO KESHO INAANZA KAZI

0
TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Queens'kesho inatarajia kutupa kete yake ya kwanza mbele ya Sudan Kusini. Ni kwenye mchezo wa mashindano...

JEMBE HILI LA KAZI NYIA NYEUPE KUTUA SIMBA

0
IMEFAHAMIKA kuwa, uongozi wa Yanga umeachana na mipango ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa Zanaco, Mzambia, Moses Phiri na kumuachia kwenda Simba. Awali Yanga ilikuwa katika...

YANGA YATUMA UJUMBE HUU BAADA YA PABLO KUCHIMBISHWA

0
BAADA ya Klabu ya Simba kutangaza kuvunja mkataba na kocha wake mkuu, Pablo Franco, Raia wa Hispania, Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Haji Manara...

HUYU HAPA KOCHA MPYA SIMBA

0
INAELEZWA kwamba, Kocha Mkuu wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku...

NTIBANZOKIZA ATAJWA KUIBUKIA SINGIDA BIG STARS

0
SAID Ntibanzokiza, aliyekuwa nyota wa kikosi cha Yanga anatajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Singida Big Stars ambayo zamani ilikuwa inaitwa DTB. Timu hiyo imepanda...

KOMBE LA DUNIA NDANI YA TANZANIA

0
KOMBE la Dunia kwa sasa lipo kwenye ardhi ya Tanzania, Dar ndipo linapatikana kwa sasa. Hii ni desturi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa, (Fifa)...

SIMBA YAFANYA KIKAO NA KOCHA MPYA SAA 72

0
NDANI ya Championi Jumatano habari kubwa inaeleza kuwa wakati Pablo akitimuliwa, Simba SC yafanya kikao na kocha mpya kwa saa 72

BREAKING:RASMI SIMBA YAMFUTA KAZI PABLO FRANCO

0
LEO Mei 31 Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu Pablo Franco Martin raia wa Hispania. Katika taarifa...

WAYDAD WATWAA TAJI LA TATU LIGI YA MABINGWA AFRIKA

0
MABINGWA wa Ligi ya Mabingwa Afrika ni Wydad baada ya kushinda mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mohamed V. Linakuwa...

UKIFUNGWA LAZIMA UKUBALI MAISHA YAENDELEE

0
MWENDO ambao unaendelea kwa sasa kwenye ligi ni lazima kila mmoja aweze kupambania kile ambacho anakitaka kwa kuwa hakuna timu inayokubali kufungwa. Kila mechi inayochezwa...

YANGA:TUMEONDOA MATUMAINI YOTE YA SIMBA

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba umeondoa matumaini yote ambayo walikuwa nayo watani wao wa jadi Simba kutwaa mataji msimu huu. Simba ilikuwa inatetea taji...