
SIMBA YAPEWA KIUNGO WA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa yupo huru kusajiliwa na timu yoyote itakayohitaji saini yake ikiwemo Simba ambayo imepanga kukifanyia maboresho kikosi chake. Hiyo ni kutokana na mkataba wake kufikia mwisho mwishoni mwa msimu huu akiwemo Chrispin Ngushi, Denis Nkane ambao hivi sasa wamepoteza nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza. Kwa mujibu kanuni za…