Home Uncategorized AMETAJA SIKU YA NYOTA SIMBA KUTUA

AMETAJA SIKU YA NYOTA SIMBA KUTUA

MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa mpango mkubwa wa timu hiyo ni kupata matokeo mazuri kwenye mechi zijazo ambapo wachezaji watawasili kambini mapema kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo za kitaifa na kimataifa chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha

Previous articleHIZI HAPA HESABU ZA AZAM FC
Next articleMBWANA SAMATTA AHESHIMIWE, KAZI YAKE NI KUBWA