Tuesday, May 7, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7791 POSTS 0 COMMENTS

AL AHLY WAMEPIGWA HUKO LIGI YA MABINGWA AFRIKA

0
MAAJABU ya mpira kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yameendelea ikiwa ni hatua ya makundi. Ni Marcelo Allende alipachika bao la mapema dakika ya 4, ngoma...

MTIBWA SUGAR YAPOTEZA POINTI TATU MANUNGU

0
IKIWA kasi ya Simba itaendelea kwa namna hii mpaka kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa angalau ule ubora wa Simba kwenye anga za kimataifa...

MAYELE KAMILI KUIKABILI GEITA GOLD

0
FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa...

MTIBWA SUGAR 0-3 SIMBA

0
DAKIKA 45 za mwanzo zimekamilika Uwanja wa Manungu kwa timu zote kuvuja jasho kusaka mabao ya kuongoza. Mtibwa Sugar 0-3 Simba unasoma ubao wa Uwanja...

AZAM FC WANAIVUTIA KASI IHEFU

0
KIKOSI cha Azam FC kinatarajiwa kumenyana na Ihefu kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Kali Ongala tayari...

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MTIBWA SUGAR

0
KIKOSI cha Simba dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Manungu, Morogoro Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Jean Baleke Moses...

VIDEO:IKIJIANDAA KUIVAA GEITA GOLD MASTAA HAWA YANGA KUKOSEKANA

0
KUELEKEA mchezo wa kesho Machi 12 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Geita Gold kuna mastaa watakosekana kikosi cha kwanza kutokana...

SIMBA INAAMINI ITAPATA UGUMU KWA MTIBWA

0
JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wanatambua watapata upinzani mkubwa kwenye mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar. Simba itakuwa Uwanja wa Manungu kusaka...

KMC YAVUNJA REKODI MBOVU YASHINDA KWA MARA YA KWANZA

0
KMC inayonolewa na Hitimana Thiery iliambulia pointi moja kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar huku mechi sita wakiambulia kichapo mazima. Timu hiyo...

VIDEO:SIMBA YAFUNGUKIA KUUZA MCHEZAJI ULAYA

0
SIMBA yafungukia kuuza mchezaji Ulaya

KOCHA SIMBA AKILI NYINGI, MABOSI YANGA WASHTUKA

0
ROBERTINHO akili nyingi Simba,mabosi Yanga washtuka, waingia msituni ndani ya Championi Jumamosi

YANGA, WINGA BAMAKO MAMBO SAFI

0
KWA mara ya pili Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amekutana na winga Real Bamako ya nchini Mali, Cheickna Diakite na kufanya naye...

BEKI YANGA AITIKISA AFRIKA

0
BEKI Yanga aitikisa Afrika kwenye anga za kimataifa ambaye ni nahodha wa kikosi hicho akiwa kwenye mwendo wake

SIMBA YAIFUATA MTIBWA SUGAR

0
KIKOSI cha Simba leo Machi 9 2023 kimeibukia Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Chini ya Kocha Mkuu,...

UNAMBIWAJEE UNAPOCHEZA SLOTI YA AVIATOR-MERIDIANBET UNAPATA MIZUNGUKO 500 YA BURE KILA...

0
Haijawahi kuwa kinyonge pale Meridianbet wanapoanzisha jambo lao, mwezi huu tena wamekuja na sloti ya Aviator, ndani ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unambiwa...

WASHIKA BUNDUKI WATAMBA KUFANYA KWELI EMIRATES

0
BAADA ya sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Europa League raundi ya 16, Mikel Arteta amesema wapinzani wao watakwenda Emirates. Katika mchezo huo...

NABI ACHARUKA YANGA, AMSHUKIA MAYELE

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa hakufurahishwa tabia ya ubinafsi iliyokuwa ikifanywa na mshambuliaji wa timu hiyo, Fiston Mayele licha ya...