Friday, April 26, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7701 POSTS 0 COMMENTS

DUBE KAWALIZA KINOMANOMA SIMBA

0
PRINCE Dube wa Azam FC kwenye msako wa pointi sita dhidi ya Simba katupia mabao mawili, mwendo wa bao mojamoja. Mzunguko wa kwanza alitupia bao...

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA PRISONS

0
HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Tanzania Prisons mchezo wa hatua ya 16 bora Kombe la Azam Sports Federation, Uwanja wa Mkapa ni...

VIDEO:SIMBA WANAPAMBANA NA KESI ZAO TU,CAF YAWALETA WAETHIOPIA

0
SIMBA wanapamba na kesi zao tu kwa sasa ambao ni mchezo dhidi ya Vipers, CAF yawaleta waamuzi kutoka Ethiopia dhidi ya Vipers Kwa Mkapa

FEISAL ARUDISHWA YANGA

0
FEISAL arudishwa Yanga rasmi baada ya TFF kutupilia mbali maombi ya marejeo ya kesi yake

VITA YA MABINGWA NA WAJELAJELA

0
INGEKUWA ni mchezo wa Ligi Kuu Bara tungesema ni tatu zinasakwa ndani ya tatu kwa wababe wawili ambao watavuja jasho ndani ya dakika 90. Bahati...

MAJANGA SIMBA KIUNGO WA KAZI AVURUGA MIPANGO

0
WAKIWA kwenye hesabu za kumenyana na Vipers Uwanja wa Mkapa, Machi 7,2023 nyota mmoja amepata maumivu hivyo huenda atakuwa nje ya mpango wa kikosi...

SAA 3 NZITO ZA KESI YA FEI V YANGA,SIMBA YAITANGULIA

0
SAA 3 nzito za kesi ya Fei v Yanga, Simba yaitangulia Yanga SC ndani ya Championi Ijumaa

BARCELONA NA MAAJABU YA MPIRA WAKISHINDA DHIDI YA REAL MADRID

0
LICHA ya Real Madrid kuwa bora kwenye kila idara dhidi ya Barcelona kwenye mchezo wao wa El Clasico ngoma iliwazidia na kupoteza mchezo huo. Baada...

VIGONGO VYA AZAM FC MACHI NI HIVI HAPA

0
MATAJIRI wa Dar Azam FC ndani ya Machi wana vigongo vikali vya moto viwili pekee ambavyo ni dakika 180. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu,...

UMAKINI UNAHITAJIKA KUFIKIA MALENGO

0
TUPO kwenye ulimwengu wenye ushindani mkubwa kwenye kila idara kuanzia Ligi Kuu Bara mpaka Kombe la Shirikishola Azam Sports hapa kila timu inahitaji ushindi. Ipo...

VIDEO: SAKATA LA FEI TOTO LAMUIBUA MAMA

0
SAKATA la Fei Toto lamuibua mama aomba haki itendeke

SIMBA YATINGA ROBO FAINALI KWA 4G

0
MOHAMED Mussa nyota wa Simba amefunga bao lake la kwanza akiwa na Simba baada ya kujiunga na timu hiyo katika dirisha dogo dakika ya...

SINZA MPO? MERIDIANBET IMEWALETEA DUKA LA KUBETIA NJOONI KWA WINGI MBASHIRI

0
  Je wewe ni mkazi wa Sinza? Wanapopatikana Watu Wajanja? Na unapenda kubashiri kwenye maduka?. Basi Meridianbet leo hii wamekuzindulia duka kubwa kabisa ambalo unaweza...

YANGA NGOMA MPAKA ROBO FAINALI CAF

0
UONGOZI wa Yanga umewaambia mashabiki kuwa wasiwe na presha ngoma itapigwa mpaka hatua ya robo fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga ipo nafasi ya...

EL CLASICO NI CLASSIC

0
LEO Alhamisi kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 81,044 kutakuwa na mechi kali ya wapinzani wa jadi nchini Hispania, kati...

MASHABIKI MNASTAHILI PONGEZI,WACHEZAJI KAZI IPO

0
MUHIMU sana kuwapa pongezi mashabiki kwa namna wanavyojitokeza kwenye mechi za kimatafa ambazo wawakilishi wa Tanzania wanatupa kete pale Uwanja wa Mkapa. Huzuni na furaha...

MITAMBO YA KAZI SINGIDA BIG STARS KAMILI GADO

0
HALI ya nyota wa Singida Big Stars, Bruno Gomez inazidi kurejea taratibu kwenye ubora wake baada ya kupata maumivu hivi karibuni. Nyota huyo ambaye ni...