Home Sports AMEACHIWA MSALA HUYU HAPA ISHU YA USAJILI SIMBA/ TAHARUKI BALEKE NA PHIRI

AMEACHIWA MSALA HUYU HAPA ISHU YA USAJILI SIMBA/ TAHARUKI BALEKE NA PHIRI

KUACHWA kwa nyota wawili Simba waliokuwa na kazi kubwa katika kutimiza majukumu yao ikiwa ni mshambuliaji Jean Baleke aliyetupia mabao 8 na Moses Phiri aliyetupia mabao matatu kwenye ligi, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, AhmedAlly amebainisha kuwa wale wanaokuja wana uwezo mkubwa na watafanya kazi kubwa.

Previous articleAMEPEWA MECHI MBILI NYOTA MPYA YANGA
Next articleIVORY COAST NI DARASA TUJIFUNZE