Sunday, May 19, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7880 POSTS 0 COMMENTS

VIDEO:MASHABIKI WAMSHANGILIA OKWI KWA MKAPA

0
MASHABIKI wamshangilia Okwi/Aucho nyota wa timu ya Taifa ya Uganda

PANGA LAPITA SIMBA, JESHI LA NABI KAMILI

0
Mbrazil apitisha panga kimyakimya,jeshi la Nabi kamili,laanza mikakati ndani ya Championi Jumatano

JESUS MOLOKO MIKONONI MWA MABOSI YANGA

0
MIONGONI mwa nyota ambao wanatajwa kuongezewa kandarasi ndani ya kikosi cha Yanga ni winga teleza Jesus Moloko. Nyota huyo mkataba wake unatarajiwa kugota mwisho mwa...

STARS YAPOTEZA KWA MKAPA

0
JITIHADA za timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kusaka ushindi dhidi ya timu ya taifa ya Uganda zimegonga mwamba. Kwenye mchezo wa leo Machi...

MSAFARA WA SIMBA WAKWAMA KUWAFUATA RAJA

0
MSAFARA wa Simba ambao leo ulianza safari kueleke Morocco kupitia Qatar utaendelea na safari yake kesho Machi 29 2023 baada ya Ndege ambayo walianza...

AFCON 2023:TANZANIA 0-0 UGANDA

0
UWAJA wa Mkapa mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 Ivory Coast ngoma bado ni nzito kwa pande zote. Ubao unasoma Tanzania 0-0 Uganda ambapo kila...

SIMBA YAWAFUATA RAJA CASABLANCA

0
Kikosi cha Simba SC, kimeanza safari leo Machi 28 kuelekea nchini Morocco kuifuata Raja Casablanca kwenye mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya...

KOCHA YANGA OUT

0
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha mkuu wa Yanga Princess, Sebastian Nkoma. Kwa mujibu...

VIDEO:KAY MZIWANDA AZUNGUMZIA MECHI DHIDI YA SIMBA QUEENS

0
KAY Mziwanda azungumzia mechi dhidi ya Simba Queens

VIDEO:MWAMBA MANDONGA ATANGAZA NGUMI MPYA

0
MWAMBA Mandonga atangaza ngumi mpya, kutetema kama kawaida

UTARATIBU WA KUINGIA KWA MKAPA LEO HUU HAPA

0
CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) amesema utaratibu wa kuingia kwa mashabiki Uwanja wa Mkapa utaanza saa sita kamili. Leo timu...

NABI AINGIZA WINGA MALI,STARS TAYARI KUIKABILI UGANDA

0
Nabi aingiza winga Mali, Stars:Tupo tayari kuimaliza Uganda ndani ya Spoti Xtra Jumanne

UGANDA WAIPIGA MKWARA HUU TANZANIA

0
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Uganda, Emanuel Okwi ameweka wazi kuwa kesho watapambana kupata matokeo dhidi ya Tanzania. Uganda ipo Bongo ikiwa na kibarua...

VIDEO:JAMBO LA NCHI,UTAPENDA AHMED/KAMWE NDIMBO BALAA

0
JAMBO la nchi, utapenda Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ali Kamwe, Ofisa Habari Yanga na Cliford Ndimbo, Ofisa Habari...

HIKI HAPA KILICHOWAPA JEURI YANGA MBELE YA WAARABU

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kilichoipa nguvu timu hiyo na kuongoza kundi mbele ya Waarabu wa Tunisia, US Monastri ni umakini...

WACHEZAJI TAHADHARI MUHIMU UWANJANI

0
UPENDO ni bora zaidi kwenye ulimwengu wa mpira kwa kuwa unatuunganisha pamoja popote ambapo tupo na hivyo ni muhimu kwa wale ambao wanacheza kuwa...

VIDEO:NYOTA STARS AWAPIGA MKWARA UGANDA

0
SIMON Msuva winga wa Stars amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda kesho na watapambana kupata ushindi kwenye mchezo huo...