SALAH AFUNGUKIA ISHU YA MKATABA WAKE
MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool ameweka wazi kuwa ishu ya mkataba wake kwa sasa ndani ya kikosi hicho hawezi kusema ndiyo ama hapana. Salah mkataba wake ndani ya Liverpool unatarajiwa kumalizika Juni 2023.Mpaka sasa haijaweza kuwekwa wazi kuhusu makualiano yake na timu hiyo. Salah alipoulizwa kuhusu mkataba wake amesema:”Niwe mkweli,kuna vitu vingi watu hawavijui sitaki…