KARATA YA PILI KWA STARS LEO
LEO Januari 21 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika, (AFCON). Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza Stars ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Morocco na leo itakuwa ni mchezo wake wa pili wa kundi F. Hemed Morocco, Kaimu…