AMENUSURIKA KUKATWA BEKI HUYU WA KAZI YANGA
MWAMBA wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ambaye ni beki Gift ametajwa kubaki kw kuwa awali alikuwa kwenye hesabu za kuachwa kutokana na kukosa nafasi kikosi cha kwanza kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Miguel Gamondi anatajwa kuhusika kwenye mpango wa kuhitaji beki huyo abaki ndani ya timu.