MWAMBA MPYA SIMBA AMEANZA NA MKWARA HUU
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba Michael Fred ameweka wazi kuwa anaamini atafanya kazi kubwa kwa ushirikiano na wachezaji wengine ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha.
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba Michael Fred ameweka wazi kuwa anaamini atafanya kazi kubwa kwa ushirikiano na wachezaji wengine ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga mapema Februari Mosi wameanza safari kueleka Bukoba kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kaitaba Februari 2 2024. Timu hiyo Januari 30 ilikuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya Pili Azam Sports Federation ilikuwa dhidi…
IKIWA Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wa raundi ya pili Simba imeibuka na ushinsi wa mabao 4-0 Tembo FC. Kila kipindi Simba ilifunga mabao mawili mawili katika mchezo ambao walitawala kwa kiasi kikubwa katika umiliki wa mpira huku umaliziaji ikiwa ni tatizo jingine. Luis Miquissone alipachika bao dakika ya 11, Saidi Ntibanzokiza dakika ya…
MSHAMBULIAJI wa Yanga , Clement Mzize ameingia kwenye orodha ya kumsaka mchezaji bora wa mwezi Januari. Shindano Hilo linapewa nguvu na Shirika la Bima la NIC ikiwa ni lengo la kuongeza ushindani ndani ya Yanga. Wengine ambao anapambana nao katika fainali ni beki Gift Fred na kiungo mshambuliaji Willsony Bogy. Ikumbukwe kwamba Januari 30 Mzize…
Safari ya kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kuzishika mkono familia zenye hali ngumu ya kimaisha, ilianzia makao makuu ya kampuni namba moja kwa michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet yenye huduma za kasino ya mtandaoni. Ni Wilaya ya Kigamboni ndipo kilikuwa kituo cha mwisho, na hapa Meridianbet walikutana na Mama mtu mzima…
KIPINDI cha pili Simba imefunga mabao mawili na kukamilisha dakika 90 kwa ushindi wa mabao 4-0. Mabao ya kipindi cha pili yamefugwa na Karabaka pamoja na Jobe ambapo wote walitokea benchi kwenye mchezo wa leo. UBAO wa Uwanja wa Azam Complex mchezo wa raundi ya pili Kombe la Azam Sports Federation mshambuliaji mpya wa Simba…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kuwa chimbo kwa muda mrefu wanarejea ndani ya Februari kutoa burudani mwanzo mwisho kwenye mechi ambazo watacheza kitaifa na kimataifa. Ikumbukwe kwamba Simba mara ya mwisho kushuka uwanjani kwenye mechi za ushindani ilikuwa ni Januari 13 Uwanja wa Amaan uliposoma Mlandege 1-0 Simba, Kombe la Mapinduzi 2024….
KIWANGO cha beki wa kazi ndani ya Yanga Ibrahim Bacca kimekuwa gumzo kila kona huku makocha wakibainisha kuwa uwezo wake unamtosha kucheza Ulaya na akafikia mafanikio yake. Mbali na Bacca nyota Aziz KI na Djigui Diarra wote wa Yanga wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kuibukia kwenye changamoto mpya.
WABABE wa kundi F, lililokuwa na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars iliyoishia hatua ya makundi, Morocco wamefungashiwa virago katika Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) mbele ya timu ya Afrika Kusini. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Morocco 0-2 Afrika Kusini kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora. Mabao yalifungwa na Evidence Makgopa dakika…
TIMU ya taifa ya Mali anayocheza kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra iliwafungashia virago wapinzani wao Burkina Faso anayocheza Aziz KI anayecheza Klabu ya Yanga. Ndani ya dakika 90 kwenye hatua ya 16 bora mshindi aliyetinga robo fainali ya Kombe la mataifa ya Afrika (Afcon) ni Mali baada ya kutinga Burkina Faso mabao 2-1…
MITAMBO ya kazi ndani ya kikosi cha Azam FC imeanza kazi kwa ajili ya kuendeleza ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara huku dhamira kubwa ikiwa ni kuendeleza ushindani kwenye mechi ambazo watakuwa uwanjani vinara hao wa Ligi Kuu Bara
MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation Yanga wamewafungashia virago katika raundi ya pili Hausing FC ya kutoka Njombe katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Dakika 45 za mwanzo mchezo ulikuwa ni wa upande mmoja kwa Yanga kumiliki zaidi na kufunga mabao 4-0 Hausing ambao angalau waliongeza ushindani kipindi cha pili walipofungwa bao…
Leo tena kipute cha ligi pendwa Duniani yani EPL inatarajiwa kuchezwa hii leo na kesho mecho zote huku kila timu ikihitaji ushindi kama wewe mteja ambavyo unahitaji ushindi ukibeti na meridianbet. Ingia sasa na ubeti. Vijana wa Roberto De Zerbi Brighton watakuwa na kibarua kigumu ugenini dhidi ya Luton Town ambaye naye pia alishinda mechi…
UNAWEZA kusema zilikuwa siku ngumu kwa mashabiki wote wa Yanga baada ya kukaa muda mrefu bila kuishuhudia timu yao ikicheza katika ardhi ya Tanzania, jambo ambalo linatarajiwa kugota ukingoni leo Januari 30. Mabingwa hao watetezi watakakuwa na kibarua kusaka ushindi dhidi ya Hausing FC katika mchezo wa kombe la la Shirikisho la Azam Sports. Mchezo…
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ubingwa wa WBO Afrika kwa kumchapa Mghana, Elvis Ahorga kwa KO ya raundi ya sana katika pambano la raundi kumi kwenye uzani wa super middle ambalo limepigwa New Amaan Complex, Zanzibar. Mwakinyo ameshinda pambano hilo huku akiweka rekodi za kushinda mkanda wa ubingwa…
AMEPEWA jezi ngumu ndani ya Simba kutokana na aliyewahi kuitumia jezi hiyo kuwa kwenye majukumu makubwa akionja chungu na tamu ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika.
HATIMAYE bingwa mtetezi Senegal katika Kombe la Mataifa Afrika mwendo ameumaliza kwa kufungashiwa virago na Ivory Coast. Senegal walikuwa ni mabingwa wa 2022 wa AFCON safari yao imegota mwisho baada ya kupoteza mbele ya Ivory Coast kwenye mchezo ambao walikuwa wakipewa nafasi kubwa ya kusonga hatua inayofuata. Ilikuwa ni hatua ya 16wanaishia wakikwama kutinga robo…