YANGA 2-0 ASAS DJIBOUT

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa Azam Complex ubao unasoma Yanga 2-0 ASAS Djibout. Ni dakika 45 za burudani kwa Wananchi ambapo wameshuhidia bao la kwanza likifungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 7 akiwa ndani ya 18. Kazi ya pili inayowapeleka Yanga mapumziko wakiwa mbele ni mguu wa Konkoni dakika ya 44 akiwa…

Read More

ISHU YA SALAH KUUZWA UARABUNI IPO HIVI

JURGEN Klopp amesema kuwa Liverpool bado hawajapokea ofa kutoka Saudi Arabia kwa ajili ya Mohamed Salah, huku akisisitiza kuwa staa huyo ambaye amejitolea kwa 100% klabuni hapo hauzwi. Salah, 31, anawavutia mabingwa wa Saudi Pro League, Al Ittihad, ambao wanaripotiwa kuandaa dau la pauni milioni 100 ili kumng’oa Anfield majira haya ya joto. Hata hivyo…

Read More

AZAM FC YATAJA SABABU YA KUKWAMA KIMATAIFA

YUSUPHU Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa wamegotea nafasi ya awali katika Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na kushindwa kutumia nafasi. Azam FC imeyaaga mashindano hayo kwa jumla ya penalti 3-4 baada ya matokeo ya jumla kuwa 3-3. Mchezo wa kwanza ugenini ilishuhudia ubao ukisoma Bahir Dar 2-1 Azam FC katika mchezo…

Read More

SIMBA YAJA NA ONYO ZITO

LICHA ya kufanikiwa kuibuka na pointi sita katika michezo yao miwili ya kwanza ya Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaonya mastaa wa timu hiyo. Miongoni mwa nyota hao ni Clatous Chama na Luis Miqquisone kuhakikisha hawabweteki bali wanapambana kuhakikisha wanashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ipo wazi kuwa Simba…

Read More

NMB YADHAMINI MASHINDANO YA GOFU

BENKI ya NMB Tanzania imeweka wazi kuwa sababu kubwa ya kuendelea kuwa karibu na Watanzania wengi zaidi wameamua kuendeleza mpango wao wa kudhamini mashindano ya Gofu Tanzania. Taarifa kutoka NMB imeeleza kuwa kwa kutambua umuhimu wa michezo kwenye jamii, NMB inaendelea kuwa wadhamini wakuu wa mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi kwa mwaka 2023….

Read More

AZAM FC KWENYE KISASI KIMATAIFA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa wachezaji wapo tayari kwa mchezo wa leo wa kimataifa dhidi ya Bahir Dar Kenema ya Ethiopia. Ikumbukwe kwamba ni timu nne ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara zinaipeperusha bendera anga la kimataifa ikiwa ni Yanga na Simba hizi ni kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Singida Fountain Gate na Azam…

Read More

VIDEO: JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA PACOME NA ONANA WA SIMBA

LEGEND kwenye masuala ya habari za michezo Bongo kitaifa na kimataifa, Saleh Ally Jembe amefungukia kuhusu uwezo wa nyota wa Yanga Pacome ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi. Nyota huyo wa Yanga ameaanza kupenya kikosi cha Yanga ambacho kinashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na ligi pia. Mbali na Jembe kufunguka…

Read More

ANAYECHEKA MWISHO HUYO HUCHEKA ZAIDI

KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga kete yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara ilikuwa ni Agosti 23 Uwanja wa Azam Complex. Kwenye mchezo huo ilishuhudia ubao ukisoma Yanga 5-0 KMC ukiwa ni mchezo uliokusanya mabao mengi ndani ya dakika 90 kwenye mechi za ufunguzi msimu wa 2023/24. Yanga iliingia katika mchezo…

Read More

MUDA WA MIPANGO NI SASA LIGI INAHITAJI NGUVU

MUDA uliopo kwa sasa ni kwa ajili ya msimu mpya ambapo maandalizi yanapaswa kuwa endelevu kwa kila mchezo husika. Matokeo yanayopatikana uwanjani baada ya dakika 90 inatokana na kile ambacho wachezaji wameamua kukionyesha kwenye mchezo husika. Ni anga la kitaifa na kimataifa timu zina kazi ya kupambana kufanya vizuri kwa kuwa furaha inabebwa na matokeo…

Read More

YANGA WAFANYA KWELI YAPIGA 5G

FUNGUO ya Yanga katika ushindi wa mabao 5-0 KMC ndani ya dakika 90 ilianzia kwa Aziz KI kiungo aliyecheza kwa umakini mkubwa. Yanga inewatungua mabao hayo ilikuwa dakika ya 16 kupitia kwa beki Dickson Job aliyetupia bao lake la Kwanza msimu wa 2013/24. Aziz KI wa Yanga alitupia bao moja dakika ya 59, Konkoni ilikuwa…

Read More

SIMBA WANA JAMBO LAO

BAADA ya kucheza mechi mbili Simba imekusanya pointi sita ikiwa inaongoza ligi. Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira katika mchezo wa kwanza ilitunguliwa mabao mawili dhidi ya Mtibwa Sugar licha ya kushinda. Baada ya dakika 90 kwenye mchezo huo ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Manungu ukisoma Mtiwa Sugar 2-4 Simba. Katika mchezo wa pili…

Read More