Home Sports YANGA WAFANYA KWELI YAPIGA 5G

YANGA WAFANYA KWELI YAPIGA 5G

FUNGUO ya Yanga katika ushindi wa mabao 5-0 KMC ndani ya dakika 90 ilianzia kwa Aziz KI kiungo aliyecheza kwa umakini mkubwa.

Yanga inewatungua mabao hayo ilikuwa dakika ya 16 kupitia kwa beki Dickson Job aliyetupia bao lake la Kwanza msimu wa 2013/24.

Aziz KI wa Yanga alitupia bao moja dakika ya 59, Konkoni ilikuwa dakika ya 70 mzawa Mudhathir Yahya dakika ya 77 na Pacome alitupia dakika ya 80.

Ushindi huu ni mkubwa kwenye mechi za ufunguzi msimu huu ndani ya ligi.

Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.

Previous articleSIMBA WANA JAMBO LAO
Next articleWENYE LIGI TUMEANZA KAZI, BALEKE APEWA MABAO 30