Home Sports VIDEO: JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA PACOME NA ONANA WA SIMBA

VIDEO: JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA PACOME NA ONANA WA SIMBA

LEGEND kwenye masuala ya habari za michezo Bongo kitaifa na kimataifa, Saleh Ally Jembe amefungukia kuhusu uwezo wa nyota wa Yanga Pacome ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi.

Nyota huyo wa Yanga ameaanza kupenya kikosi cha Yanga ambacho kinashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na ligi pia.

Mbali na Jembe kufunguka kuhusu Yanga amezungumzia ligi kiujumla akiwazungumzia Simba chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira

Previous articleGAMONDI AFUNGUA BUSTA LOTE, KIUNGO AOMBA KUVUNJA MKATABA SIMBA
Next articleAZAM FC KWENYE KISASI KIMATAIFA