KIMATAIFA MALIZIENI MKIA KWA UMAKINI

WIKI ya kutambua mbivu na mbichi kwenye anga la kimataifa hii hapa imefika ambapo kila mmoja atavuna kile ambacho atakipanda ndani ya dakika 90. Yale majigambo ya nje ya uwanja muda wake unakwenda kugota mwisho kwani ipo wazi kuwa hakuna marefu yasiyokuwa nan cha. Muda huu uliobaki kwa wawakilishi wetu kimataifa ni kuchanga karata kwa…

Read More

HAWA HAPA WALIOPIGA HAT TRICK KWA HARAKA ZAIDI

KUFUNGA mabao matatu ‘hat trick’ ndani ya mchezo mmoja sio kitu rahisi. Washambuliaji wengi wamekuwa na ndoto ya kufanikisha hilo na wengine hadi wanastaafu wanakuwa hawajafanikiwa kutimiza. Premier League ni kati ya ligi zinazofuatiliwa kwa kiasi kikubwa ulimwenguni. Hii imepelekea klabu za huko kusajili wachezaji wazuri hususan washambuliaji wenye uwezo mkubwa kucheka na nyavu kila…

Read More

MWAMBA HUYU SIMBA KUWAPA TABU KWELIKWELI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa nyota wao Fabrince Ngoma bado anajitafuta licha ya kuonyesha uwezo kwenye mechi za ligi ambazo alipata nafasi ya kucheza. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ni mechi tatu kacheza akikomba dakika 225, katupia bao moja ilikuwa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu. Wachezaji wa Simba, Oktoba Mosi…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE KIMATAIFA WAONGEZEWA NGUVU

WAKIWA katika maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Future, Singida Fountain Gate kutoka Tanzania wameongezewa nguvu kupitia viongozi waliofika kambini. Wawakilishi hao kwenye anga la kimataifa Oktoba Mosi watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Future. Septemba 28, 2023 ugeni kutoka kwa viongozi ikiwa ni pamoja na waziri…

Read More

HASIRA ZA KICHAPO KWA SIMBA KUWAANGUKIA TABORA UNITED

BAADA ya kupoteza kwenye mchezo wao uliopita wa ligi dhidi ya Simba hasira za Coastal Union zinahamia kwa Tabora United unaotarajiwa kuchezwa leo Septemba 29. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Coastal Union ilifungwa mabao 3-0 ikiwa ugenini dhidi ya mnyama Simba. Mabao yote ya Simba yalifungwa na Jean Baleke ikiwa ni hat trick…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

KOCHA Mkuu wa Azam FC Yusuph Dabo amesema kuwa watafanyia kazi makosa yaliyopita kwenye mchezo wao dhidi ya Singida Fountain Gate ili kuendelea kupata ushindi. Katika mchezo huo Azam FC ilipata bao la ushindi dakika ya 90 kupitia kwa nyota wao Idd Suleiman, (Nado) alimtungua kipa wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya. Singida Fountain Gate…

Read More

SIMBA YAWAPIGIA HESABU WAZAMBIA KIMATAIFA

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema wameutumia mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union uliopigwa Alhamisi iliyopita kama sehemu ya kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Mbali na mchezo huo pia Simba ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pan…

Read More

KOCHA AL MERRIKH: YANGA INAOGOPESHA

KOCHA wa Al Merrikh, Osamah Nabieh amekiri kwa kusema kuwa Yanga ni moja kati ya timu ambayo inahofiwa kwa sasa barani Afrika kulingana na kile ambacho inakionyesha ndani ya uwanja haswa kutokana na kupata matokeo mazuri na kucheza mpira mzuri. Kocha huyo anayokumbukumbu ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 wakiwa nyumbani katika mchezo wa kwanza…

Read More

VIDEO:WASIOMTAKA KOCHA SIMBA WAAMBIWA WASEPE

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo Kisungu ameweka wazi kuwa waleambao wanahitaji kuona Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliveira akifungashiwa virago waondoke. Kumekuwa na presha kubwa kutoka kwa mashabiki ambao wamekuwa wakihitaji kuona kocha huyo anaondoka kwa kuwa timu inashinda huku wao wakiwa hawana furaha.

Read More

AFCON 2027 KUANDALIWANA NCHI TATU, KENYA, UGANDA NA TANZANIA

RASMI mataifa matatu yataandaa mashindano makubwa Afrika ambayo ni Africa Cup. Mapema Septemba 27, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro aliongozana na ujumbe wa pamoja wa Tanzania, Uganda na Kenya ambapo walikuwa kwenye kikao cha kuwasilisha wasilisho la kuomba kuwa mwenyeji wa AFCON 2027. Kikao hicho cha CAF ExCO kilifanyika katika hotel ya…

Read More

NTIBANZOKIZA NA LUIS NDANI YA SIMBA KUNA NAMNA

VIUNGO wawili wa Simba, Luis Miquissone na Saido Ntibanzokiza chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kuna namna wanazidi kuiva chungu kimoja kutokana na muunganiko wao kuanza kujibu. Nyota hao kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Agosti 6 mwendo wa mpira wa kona iliyopigwa na Luis dakika ya 74 ileleta…

Read More

LIVERPOOL BADO WANAJITAFUTA HUKO

LIVERPOOL wamekuwa wakijitafuta kwa muda na sasa wanaonekana kurejea kwenye makali yao hiyo ni baada ya wikiendi iliyopita kutoka nyuma na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Wolves 3-1 ugenini huko Molineux. Msimu uliopita ilikuwa mara ya kwanza kwa Liverpool kushindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Kocha Mkuu Jurgen Klopp amekuwa kwenye usukani kwa…

Read More

ZANA ZA KAZI ZAANDALIWA YANGA NA GAMONDI

KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Al Merrikh, Waarabu hao wa Sudan watakutana na balaa jipya linalosukwa na Miguel Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga. Gamondi anaandaa zana za kazi kuelekea mchezo huo muhimu kwa Yanga kupata ushindi kukata tiketi ya kutinga hatua ya makundi Afrika….

Read More