>

SIMBA YAWAFUNGUKIA AL AHLY

BAADA ya droo ya African Football League kuchezwa na Simba kupangwa kuanza na Al Ahly ya Misri, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa wapo tayari kuonyesha ukubwa wao. Simba katika African Football League itaanza na Al Ahly katika hatua ya robo fainali mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 20,2023 na ule wa marudiano itakuwa…

Read More

MAXI NAMBA 7 WA YANGA ATUMA UJUMBE HUU KIMATAIFA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Maxi Mpia Nzegeli ameweka wazi kuwa malengo yake ni kuhakikisha kuwa anaisaidia timu hiyo kufanya vyema katika michuano ya kimataifa na kufikia malengo yao ya kufika hatua ya makundi. Yanga ili wafanikiwe kutinga katika hatua ya makundi wanatakiwa kuhakikisha kuwa wanawaondoa Al Merrikh katka mchezo unaofuata wa hatua ya pili ya…

Read More

MASTAA YANGA WAPIGWA STOP NA GAMONDI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina ni kama amewashtukia wapinzani wao katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Merrikh ya Sudan kwa kuamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wa timu hiyo na kuingia kambini na kuanza maandalizi kuelekea katika mchezo huo. Yanga ambao imeanza msimu huu kwa mafanikio kutokana na kutoa vipigo vizito katika Ligi…

Read More

MKWARA MZITO SIMBA IMETOA KIMATAIFA

HUKU droo ya mashindano maalum ya African Super League ikitarajiwa kupangwa rasmi leo Jumamosi, wawakilishi wa Tanzania katika mashindano hayo, Simba wamechimba mkwara mzito kwa kuweka wazi wamesuka mkakati mzito wa kuhakikisha wanapambania kushinda ubingwa wa mashindano hayo. Kuendana na waratibu wa mashindano hayo yanayotarajiwa kupigwa mwezi Oktoba, imethibitishwa yanatarajiwa kushirikisha timu za Petro de…

Read More

AIR MANULA AREJEA UWANJANI BAADA YA KUWA NJE KWA MUDA

AISHI Manula, kipa namba moja wa Simba amerejea rasmi uwanjani na kuanza mazoezi maalumu ili kurejea kwenye ubora wake. Kipa huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Roberto Oliveira alipopata maumivu ni Ally Salim alikuwa mbadala wake. Manula hakuwa kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi msimu wa 2022/23 dhidi ya watani zao wa jadi Yanga…

Read More

TFF YATOA UFAFANUZI KUHUSU WAZIRI WA MICHEZO NDUMBARO

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa taarifa kuhusiana na taarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro alifungiwa na shirikisho hilo kujihusisha na masuala ya michezo. Taarifa iliyotolewa na TFF kupitia kwa Afisa Habari na Mawasiliano, Cliford Ndimbo, imeeleza kuwa Ndumbaro alifungiwa kutojihusisha na masuala…

Read More

KAGERA SUGAR KUJA KWA MPANGO HUU

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amefichua kuwa kwa sasa kikosi chake kinaendelea na mazoezi ikiwa ni baada ya kuanza vibaya kwenye michezo yao ya Ligi Kuu Bara. Baada ya kucheza mechi mbili haijakusanya pointi huku vinara wakiwa ni Yanga wenye pointi sita kibindoi. Yanga pia kwenye mechi mbili za ligi wametupia jumla ya…

Read More

BEKI WA KAZI KAMILI SIMBA KIMATAIFA

HENOCK Inonga alipata maumivu ya mkono kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga dakikaya 89. Nyota huyo hakuwa kwenye mchezo wa fainali dhidi ya watani zao wa jadi Yanga. Inonga alikuwa shuhuda wa fainali hiyo iliyochezwa Agosti 13 Simba ikiwashinda watani zao wa jadi Yanga kwa penalti….

Read More

DUBE MGUU KWA MGUU NA JEAN BALEKE

PRINCE Dube, nyota wa Azam FC anakula sahani moja na Jean Baleke wa Simba kwenye suala la utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 tuzo ya ufungaji bora ilikwenda kwa Saido Ntibanzokiza wa Simba na Fiston Mayele wa Yanga. Mastaa wote wawili wana rekodi ya kufungua akaunti za kutupia mabao katika…

Read More

SIMBA INASUKWA UPYA KITAIFA NA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa muda uliopo kwa sasa ni benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kusuka silaha za maangamizi kwenye mashindano ya kimataifa. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ina pointi sita kibindoni baada ya kucheza mechi mbili huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao sita na…

Read More

MAXI NI NGOMA NZITO YANGA

NYOTA Maxi Nzengeli ndani ya kikosi cha Yanga ni ngoma nzito kutokana na uwezo wake wa kufunga na kutengeneza nafasi kwenye mechi za kitaifa na kimataifa. Nzengeli anayevaa uzi namba 7 mgongoni huku mtindo wake unaomtambulisha ukiwa ni ule wa kuchomekaa jezi rekodi zinaonyesha kuwa bao lake la kwanza akiwa na uzi wa Yanga alipachika…

Read More