
NABI KUIBUKIA AFRIKA KUSINI
BAADA ya kufikia makubaliano ya kutoongeza mkataba ñdani ya Yanga, Nasreddine Nabi anatajwa kuwa katika hesabu za Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Dili la Nabi lilikuwa linagota ukingoni mwishoni mwa msimu huu wa 2022/23. Nabi amekiongoza kikosi cha Yanga msimu wa 2022/23 kwa mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kutwaa taji la Ligi Kuu Bara,…