Home Sports NTIBANZOKIZA ATWAA TUZO YAKE

NTIBANZOKIZA ATWAA TUZO YAKE

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza ametwaa tuzo ya mchezaji bora chaguo la mashabiki.

Nyota huyo ni mchezaji bora kwa Mei baada ya kuwashinda washkaji zake wawili alioingia nao fainali.

Ni Shomari Kapombe na Hennoc Inonga ambao hawa ni wataalamu kwenye eneo la ulinzi.

Ntibanzokiza ndani ya Mei kwenye mechi mbili katupia jumla ya mabao 7 akifikisha mabao 17 kwenye Ligi Kuu Bara.

Previous articleAZAM FC 0-1 YANGA
Next articleYANGA YATWAA TAJI LA FA MKWAKWANI