
AZAM FC KUIBUKIA ZANZIBAR, KOMBE LA MAPINDUZI
KIKOSI cha Azam FC leo Januari 2,2022 kimeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Jana Januari Mosi 2022, Azam FC ilifungua mwaka kwa kupoteza pointi tatu mbele ya Simba baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-1Azam FC. Wanaelekea Zanzibar kulisaka taji ambalo lipo…