
JIONEE MAKUNDI YA KOMBE LA SHIRIKISHO
HIVI ndivyo makundi ya Kombe la Shirikisho namna ambavyo yamepangwa leo Desemba 28,Misri:- Kundi A ni Pyramids FC,CS Sfaxen, Zanaco na Ahli Tripoli. Kundi B ni JSK/R. Leopards, Orlando Pirates, JS Saoura na Al Ittihad. Kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho. Simba kutoka Tanzania ipo kundi D…