
SIMULIZI YA MFANYABIASHARA AMBAYE ALITOROKWA NA MARAFIKI ZAKE
SIMULIZI ya mfanyabiashara ambaye alitorokwa na marafiki zake Niliishi mjini Namanga ambapo nilikuwa na biashara mbalimbali za kuuza nguo kwenye mji huo uliokuwa kitovu kizuri cha biashara kwa kuwa ulipatikana mpakani. Nilikuwa mwana pekee katika familia yetu. Maisha yalikuwa mazuri kwani nilikuwa buheri wa afya, kijana mtanashati aliyekuwa miraba minne. Biashara ilinipeleka vizuri maana wateja…