
MERIDIAN GAMING GROUP KUSHIRIKI MAONESHO YA BRAZIL iGAMING SUMMIT
Wakali wa michezo ya kubashiri duniani wapo tayari kwa maonesho nchini Brazili, kutakuwa na ofa mpya za kubashiri sambamba na habari motomoto za jakipoti ya kasino. Meridian Gaming Group ambao ni kampuni kubwa ya michezo ya kubashiri duniani na waasisi wa soko la America Kusini, watashiri kwenye maonesho ya Brazil iGaming Summit (BiS) 2021,…