
KOCHA:SIMBA ITAFUNGWA NA YANGA
KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya Morocco, Florent Ibenge, ameitabiria Yanga kuondoka na ushindi mbele ya Simba katika mchezo wa dabi ya Kariakoo utakaochezwa leo Jumamosi katika Uwanja wa Mkapa,Dar. Ibenge ambaye aliwahi kuwa Kocha Mkuu wa AS Vita na timu ya taifa ya DR Congo, analifahamu vyema soka laTanzania akiwa amewahi kukutana na Simba na Taifa Stars. Kocha huyo ndiye anayewafundisha viungo wa zamani wa timu hizo, Clatous Chama na…