
SIMBA YASHINDA MBELE YA JKT TANZANIA 1-0
KIBU Dennis, mshambuliaji wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amefunga bao pekee la ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho. Ulikuwa ni mchezo wa raundi ya tatu na ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ulisoma Simba 1-0 JKT Tanzania. JKT Tanzania haikuwa na bahati licha kutengeneza nafasi za kutosha katika…