
YANGA WAANDAA JAMBO KUBWA KWENYE USAJILI
KATIKA kuelekea usajili wa dirisha la Januari, mwaka huu wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM, wamewahakikishia mashabiki wa timu hiyo kufanya usajili mkubwa na wa kishindo. Yanga imeonekana kudhamiria msimu huu kutwaa mataji yote wanayoshindania ikiwemo Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), ambayo yote yanatetewa na Simba. Timu…