FUNGAFUNGA: CHAMA NI MCHEZAJI MZURI
MICHAEL Fred, fungafunga mshambuliaji wa zamani wa Simba amesema kuwa mchezaji Clatous Chama ni miongoni mwa wachezaji wazuri aliopata nafasi ya kucheza nao kwenye ligi. Kwa sasa Chama yupo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi alipata nafasi ya kucheza mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaiataba baada ya dakika…