
SIMBA YAIVUTIA KASI AL HILAL KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa maandalizi ya mchezo wao wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal yamekamilika kwa asilimia kubwa na kilichopo kwa sasa ni maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa wachezaji ambao walikuwa wamepewa mapumziko…