
SIMBA YAKIRI UGUMU KUTENGENEZA NAFASI ZA KUFUNGA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kuna ugumu kwenye kutengeneza nafasi za wazi katika mechi za ushindani jambo linalowafanya kutumia mbinu nyingine kusaka ushindi. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara ubao wa Uwanja wa KMC, Mwenge ulisoma Simba 3-0 Tabora United mabao yakifungwa na Che Malone dakika ya 14, Valentino Mashaka dakika…