
AZAM FC WAMEANZA NAMNA HII NA BENCHI JIPYA
BENCHI jipya la ufundi la Azam FC mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu Bara limeshuhudia wakigawana pointi mojamoja dhidi ya wapinzai wao Pamba Jiji katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Septemba 14 2024. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza wa ligi msimu wa 2024/25 ilikuwa JKT Tanzania 0-0 Azam FC wakati huo timu ilikuwa…