SIMBA KUTUMIA MBINU ZA CAF KUIKABILI YANGA
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa watatumia uzoefu ambao wamepata kwenye mechi za kimataifa kuweza kuwakabili Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. Yanga ilitangulia katika hatua ya robo fainali kwa ushindi mbele ya Geita Gold hivyo itakutana na Simba katika mchezo wa nusu fainali Mei 28,Uwanja wa…