MANULA,KAPOMBE WAANZA MAZOEZI KUIKABILI YANGA
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema nyota wawili waliokuwa majeruhi katika kikosi chao, Aishi Manula na Shomari Kapombe, wameanza mazoezi rasmi kujiandaa kuikabili Yanga SC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa, Jumamosi hii. Manula alipata maumivu ya mkono muda mfupi kabla ya mchezo wa ligi kati ya Geita Gold v…