
REKODI ZA MAPROO YANGA NOMA
MAPROO wa Yanga wameweka rekodi yao matata kwa kuhusika kwenye mabao mengi ya timu hiyo jambo linalowaongezea mzigo wazawa kazi ya kufanya kwenye mechi ambazo watacheza kwa msimu wa 2021/22. Ikiwa imecheza mechi tano ambazo ni dakika 450, maproo hao wameonekana kufanya kazi kubwa kutimiza majukumu yao kuanzia kwenye safu ya ulinzi mpaka ushambuliaji jambo…