
MBRAZIL WA SIMBA KUSAINI YANGA
MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa Oktoba 26 amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kusaini dili jipya ndani ya Yanga ikiwa watafikia makualiano mazuri. Kocha huyo kwa sasa yupo huru baada ya mabosi wa timu hiyo kufikia uamuzi wa kuachana naye kutokana na kile waliochoeleza kuwa…